Download in PDF:Muongozo wa Mwanafunzi katika mfumo wa selform Namna ya kuingia na kubadilisha machaguo
MUONGOZO WA MWANAFUNZI KATIKA MFUMO WA SELFORM
NAMNA YA KUINGIA NA KUBADILISHA MACHAGUO
Manual ya Mfumo wa SELFORM.
01 April 2019
Manual/ Muongozo Kwaajili ya Wanafunzi wanaotarajia kujiunga kidato cha Tano na Vyuo vya kati kuwawezesha kubadili Tahsusi zao.
Bofya hapa DOWNLOAD
Maoni
Chapisha Maoni