Video: Diamond na Ne-Yo washoot video ya wimbo wao ‘Marry You’....Duh.....

duuu


Hatimaye Diamond na Ne-Yo wameshoot video ya wimbo wao, Marry You.


Video imefanyika jijini Los Angeles, Marekani. Wimbo huo ulirekodiwa kitambo baada ya Diamond kumfuata Ne-Yo Nairobi alikoenda kwenye kipindi cha Coke Studio Afrika, msimu wa tatu.

Baada ya hapo wawili hao walikutana tena Marekani kumalizia baadhi ya vipande. Mwezi May, Ne-Yo na Diamond waliuimba wimbo huo pamoja kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, kwenye tamasha la Jembeka.
Tazama Video Hapa:

 Duh............    Mkali ni mkali tyu  inatabiliwa kua video kali kuliko zote za Platnumz 







Maoni

Ulizikosa hizi ....

On-Line Learning with Mr.Juma A. Mkiwa in BIOLOGY