AJIRA KWA WATU WA AFYA .......................
Na Dr.Doppler....
Nani kasema hakuna AJIRA .....?????????????????????

Ajira zipo ila sharti ufate utaratibu husika kwanza.
Ebu soma hii...............
Ebu soma hii...............
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
inawajulisha waliofaulu usaili wa ajira za dharura kupitia ufadhili wa
tarehe 04 Aprili, 2017 kuanzia saa tatu asubuhi kwa ajili ya kujaza
mikataba na kupangiwa vituo vya kazi. wito huu ni muhimu wahusika
wote wanatakiwa kufika bila kukosa
Imetolewa na Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Wizara ya afya,
Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
KUPATA MAJINA>>BOFYA HAPA>>
sorry link imefungwa kwa muda
KUPATA MAJINA>>BOFYA HAPA>>
sorry link imefungwa kwa muda
Maoni
Chapisha Maoni