What is PI.....?????
Na Dr.Doppler....
Ni muda mlefu sana tangu alama PI, Ianze kutumika.william Jones ndie mwanahisabati mwanzilishi
wa alama hii mnamo mwaka 1706.kama tunavyojua kua PI hutumika katika kutafuta Eneo au mzingo wa vitu vyenye umbo la Duara.
Matumizi ya alama hii yalienezwa zaidi na mwanahisabati, Leonhard Euler mnamo mwaka 1737.
Inaendelea......
Jisajili kwenye blogu hiii kwa taarifa zingine kama hizi na zaidi
Imeandaliwa na
Juma A.Mkiwa
Dr.Doppler
0756547078.
Jumamkiwa

Maoni
Chapisha Maoni