BREAKING NEWS!! Mwongozo Jinsi ya kubadili Tahsusi(Combination) kwenye ...

Ni kuanzia 1/4/2019 HADI 15/4/2019.
1. Je, Muda utatosha???
2. Je, Tutawafikia walengwa ?????
3. Je, walengwa wanaufahamu/uelewa na mfumo????
4. Tumejipangaje kukabiliana na Changamoto za kimfumo kwa kuzingatia mifano kutoka mifumo mingine kama OTEAS n.k.?????

La-Hasha WATANZANIA Tujifunze kuwa na hata Chembe ya Imani, Uvumilivu, uzalendo, subra, kusahau mabaya n.k



KWA KINA TAZAMA VIDEO HII

Maoni

Ulizikosa hizi ....

On-Line Learning with Mr.Juma A. Mkiwa in BIOLOGY